English
Swahili
+255 757 359 795
info@tassim.or.tz
Home

Chama cha wenye Viwanda Vidogo na Wazalishaji Wadogo Tanzania (TASSIM)

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Kususu sisi
    • Malengo na Madhumuni
    • Dira na Dhamira
    • Neno kutoka kwa Mwenyekiti
    • Uongozi
    • Uongozi Kamati Kuu
    • Kazi zetu
    • Huduma zetu
  • Uanachama
    • Uanachama TASSIM
    • Faida za kuwa mwanachama
    • Aina za uanachama na ada
    • Sekta Lengwa
    • Fomu ya Uanachama
  • Kituo Habari
    • Habari na Matukio
    • Maktaba Picha
  • Miradi
  • Nyaraka
    • Fomu mbalimbali
  • Wasiliana nasi
  • Bungeni
  • Bungeni

Kuhusu sisi

TASSIM ni shirika linalosimama kama wawakilishi wa wamiliki wa Viwanda Vidogo na Wazalishaji Wadogo Tanzania. TASSIM inatekeleza jukumu la kuunganisha na kushirikiana na serikali na taasisi husika katika kuhakikisha mawazo na changamoto za wanachama wake zinapata uvumbuzi kwa lengo la kukuza sekta ya viwanda nchini Tanzania.

  • Dira Yetu
    Kuwa shirika linaloongoza ukuaji na ongezeko la thamani kwa viwanda vidogo na vya kati kwa maendeleo endelevu nchini Tanzania.
  • Dhamira Yetu
    Kukuza maendeleo na ushindano wa viwanda vidogo na vya kati nchini Tanzania kupitia utafiti wa kina, uwakilishi na ushirikiano.

Neno kutoka kwa Mwenyekiti

Ally Masoud 'Kipanya'

Ninayo heshima kubwa kuwatumikia kama Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Viwanda Vidogo na Wazalishaji Wadogo Tanzania (TASSIM). Ni furaha na faraja kubwa kukutana na wanachama na viongozi wengi nchini kwetu.

Soma zaidi

Kazi Zetu

Kama mwakilishi wa wamiliki wa Viwanda Vidogo na Wazalishaji Wadogo Tanzania, majukumu makubwa ya TASSIM ni pamoja na kutoa ushauri na mapendekezo ya maboresho ya sera na utungwaji wa sera mpya pamoja na usimamizi wa utekelezaji wa sera hizo ili kuwezesha ukuaji na uzalishaji wa viwanda vidogo na vya kati nchini Tanzania.

Habari na Matukio

Taarifa ya Kikao Kazi kati ya Viongozi wa TASSIM na Shirika Binafsi la Maendeleo ya Kilimo Tanzania-PASS TRUST
Mwendelezo wa majadiliano ya kiutendaji baina ya TASSIM, wadau wa Maendeleo Nchini na Shirika la MCC Marekani
Wadau wahamasishwa kushiriki mchakato wa Viwango
Mitandao ya kijamii
Fomu ya Uanachama

Wasiliana nasi

Jengo la Msasani, Barabara ya Off-Kimweri
Namba ya Kiwanja 503/1
Sehemu G, Msasani, Dar es Salaam

S.L.P 38556
+255 757 359 795
info@tassim.or.tz

Kurasa Muhimu

  • Aina za uanachama na Ada
  • Faida za kuwa mwanachama
  • Jiunge TASSIM
  • Wasiliana nasi

Tovuti Muhimu

  • Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania
  • Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania
  • Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari na Matukio

Taarifa ya Kikao Kazi kati ya Viongozi wa TASSIM na Shirika Binafsi la Maendeleo ya Kilimo Tanzania-PASS TRUST
Mwendelezo wa majadiliano ya kiutendaji baina ya TASSIM, wadau wa Maendeleo Nchini na Shirika la MCC Marekani
Wadau wahamasishwa kushiriki mchakato wa Viwango

© Chama cha wenye Viwanda Vidogo na Wazalishaji Wadogo Tanzania (TASSIM). All Rights Reserved.